Kutoa Tor Browserkatika mfumo wako ni rahisi:

Kwenye Windows:

 • Tafuta folda lako la Tor Kivinjari au programu-tumizi. eneo la chaguo-msingi kwenye Desktop.
 • Futa folda la Tor Kivinjari au programu-tumizi.
 • Taka zako Tupu.

Kwenye macOS:

 • Weka programu yako ya Tor Browser .Sehemu yake halisi ni folda la programu.
 • Hamisha programu ya Tor Browser application kwenye vitu visivyotumika.
 • Nenda katika folda lako la ~/Library/Application Support/.
 • Zingatiathe Folda la maktaba limefichwa katika toleo jipya la macOS. Kulitafuta hili foldar, chagua "Go to Folder..." katika menyu ya "Go".

nenda katika machaguo ya menyu

 • Kisha andika ~/Library/Application Support/ katika windo kisha bofya Go.

Nenda katika folda la window

 • Weka folda ladata za TorBrowser-Data katika sehemu ya vitu vya vilivyofutwa.
 • Taka zako Tupu.

Zingatia kama hujasakini Tor Browser katika sehemu yake halisi (folda la program), kisha folda la data za TorBrowser fhaijawekwa katika ~/Library/msaada wa programu/ folda, lakini katika folda hilohilor ambalo umesakini Tor Browser.

Katika Linux:

 • Weka folda la Tor Browser. Katika Linux, huko hakuna sehemu yake halisi ya mojakwamoja, hata hivyo folda litaitwa "tor-browser_en-US" kama unatumia Tor Browser ya kingereza.
 • Futa folda la Tor Browser.
 • Taka zako Tupu.

Zingatia viwango vya utendaji wa mashine yako upande wa "Uninstall" haitumiki.