Mojakwamoja, Tor Browser hulinda usalama wako kwa kusimba data unazo peruzi. Unaweza kuchagua kuongeza usalama zaidi kwa kuchagua kuondoa baadhi ya tabia za tovuti ambazo zinaweza kutumika kusumbua usalama wako na kutojulikana. Unaweza kufanya hii kwa kuongeza kiwango cha usalama Tor Browser katika menyu. Kuongeza kiwango cha ulinzi katika Tor Browses kutazuia baadhi ya tovuti kufanya kazi vizuri, shivyo unatakiwa upime mahitaji ya ulinzi wako kutokana na matumizi na mahitaji yako.

KUFIKIA USALAMA WA KIMPANGILIO

Usalama wa kimpangilio unaweza kupatikana kwa kubonyeza Ngao ikon ijayo kwenye Tor Kivinjari URL baa. Kuangalia na kurekebisha mipangilio ya usalama, bofya katika kitufe cha 'Settings' katika menyu.

Bofya katika 'Change'katika sehemu ya menyu

KIWANGO CHA USALAMA

Kuongeza kiwango cha ulinzi katika Tor Browser mpangilio wa ulinzi utazuia au utazuia baadhi ya tabia kulinda na uvamizi unaoweza kutokjea. Unaweza kuwezesha mipangilio hii tena katika muda wowote kwa kurekebisha kiwango cha Usalama wako.

Kiwango cha usalama kwa sasa ni salama zaidi

Kiwango
  • Katika kiwango hikil, tabia zote Tor Browser na tovuti zimewezeshwa.
Salama zaidi
  • Kiwango hiki kinazuia tabia za tovuti ambazo ni hatari. Hii inaweza kusababisha baadhi ya tovuti kushindwa kufanya kazi.

  • JavaScript haijawezeshwa katika tovuti zote zisizo naHTTPS ; baadhi aina ya maneno na alama za hesabu hazijawezeshwa; sauti na video (HTML5 ni bofya ili kucheza.

Salama zaidi
  • TKiwango hiki huruhusu tabia za tovuti zinazohitajika katika tovuti za kuduma na huiduma za msingi. Mabadiliko haya huathili picha, nyimbo na video na maandishi.

  • Javascript imezuiliwa mojakwamoja katika kila tovuti; baadhi ya aina ya maneno, nembo, alama za hesabus, na picha hazijawezeshwa; sauti na video (HTML5 media)bofya ili kucheza.