• Tor huitaji muda wa mfumo wako (na majira ya kanda yako) kuwekwa katika muda sahihi.

  • Program za kuzuia virusi na program hatarishi humzuia mtumiaji kupata Tor Browser. Wakati mwingine huleta ujumbe wa false positives regarding malware and/or vulnerabilities. Unaweza kusoma zaidi kuhusiana na hii katika Support Portal. Programu zifuatazo za kuzuia virusi zimefahamika kuingilia Tor na zitatakiwa kutowezeshwa kufanya kazi kwa muda mfupi:

    • Webroot SecureAnywhere
    • Ulinzi wa mtandao kwa kutumia Kaspersky 2012
    • Sophos Antivirus for Mac
    • Microsoft Security Essentials
    • Program ya kuzuia virusi ya Avast
  • Pia VPN huwa na tabia ya kuingilia Tor na huitajika kuzimishwa. Pia tunashauri kuto tumia VPN pamoja na Tor labda uwe mtumiaji mzoefu ambaye anajua namna ya kuziweka sawa ili zikubaliane na faragha yako. Unaweza kupata taarifa zaidi za Tor+VPN katika awani yetu wiki.

  • Video zinazohitaji flash ya Adobe hazipo. Flashi haiwezi kufanya kazi kwa ajili ya sababu za kiusalama.

  • Tor haiwezi kutumia bridge kama kifaa cha kati ya mawasiliano kitatumika.

  • Programu ya Tor Browser imepewa tarehe ya Januari 1, 2000 00:00:00 UTC. Hii ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila programu iliyotengenezwa inauwezo sahihi.

  • Namna ya kuifanya Tor Browser kama kivinjari chako cha kutumia wakati wote default browser.

  • Kama Tor Browser ilikuwa inafanya kazi kabla na haifanyi kazi sasa (hususani baada ya kusanikisha tena aukuhuwisha), mfumo wako unaweza kuwa umelala . Kuzima na kuwasha upya mfumo wako. kwa jambo hilo, litatatua tatizo.

  • Tor haitaanza kufanya kazi wakati njia ya folda ina alama zisizo na mfumo wa ASCII.

  • Utaratibu wa kuhamisha mafile makubwa siyo isiyotambulika kwa Tor.

  • Web Authentication (WebAuthn) and Universal 2nd Factor (U2F) (i.e. YubiKey) support is disabled in Tor Browser.

  • Images uploaded on Tor Browser (Desktop and Android) are randomized.