CHOOSE DISPLAY LANGUAGE

When you launch Tor Browser the display language is set to the default language of your system. Tor Browser is available in multiple languages and you can change the display language by clicking on "Change Language".

Change Tor Browser's display language

In the "Language" settings, select your desired display language from the dropdown menu.

Select display language of Tor Browser

UNGANISHA

Unapoanza Tor Browser, utaona windo inayokuambia jiunge na Tor. Hii inakupelekea wewe chaguo kuunganisha moja kwa moja kwenye mtandao wa Tor, au kupangilia Tor Kivinjari kwenye muunganisho wako. Toggle on "Always connect automatically" to allow Tor Browser connect to the Tor network automatically with the previously saved connection settings, everytime the browser is launched.

Bofya 'connect' ili kuunganisha katika Tor

Mara nyingi, kuchagua"Connect" itakuruhusu kuunganisha katika mtandao wa Tor bila usanidi wa ziada.

Utakapobofya, mstari wa hali utatokear, kuonyesha mawasiliano ya Tor yanayoendelea. Kama upo katika mtandao wenye kasi, lakini sehemu hiyo inakwama katika eneo fulani, jaribu 'Connection Assist' au angaliaTroubleshooting kurasa ya msaadan kwa ajili ya kutatua matatizo. Au, ikiwa unajua kuwa muunganisho wako umedhibitiwa au unatumia proksi, unatakiwa ubofye katika"Configure Connection".

Bofya 'Configure Connection' ili kubadilisha mpangilio wa mtandao

CONNECTION ASSIST

Kama Tor imezuiliwa katika eneo lako, jaribu bridge inaweza saidia. Connection Assist inaweza kuchagua moja kwa ajili yako kutumia eneo.

Connection Assist mojakwamoja

If Connection Assist is unable to determine your location you can select your region from the dropdown menu and click on 'Try a Bridge'.

Connection Assist sanidi

SANIDI

Tor Browser itakupeleka katika machaguo kadhaa ya kusanidi.

Connection Assist iitakutaarifu kuhusiana na hali ya mawasiliano yako ua mtandao na mawasiliano yako katika mtandao wa Tor.

Kupima upatikanaji wa mawasiliano

Jaribio la upatikanaji wa mawasiliano halijafanikiwa

The first toggle is 'Always connect automatically'. If toggled on, every time you open Tor Browser, it will try to connect with your previously saved connection settings.

Connect Automatically

Kama unajua kuwa mtandao wako umedhibitiwa, au umejaribu na umeshundwa kujiunga na mtandao wa Tor na hakuna suluhusho lingine lililofanikiwa, unaweza kusanidi Tor Browser kwa kutumia usafirishaji wa pluggable . 'Bridges'zitaonyesha Ukwepaji wa udhibiti wa mtandao sehemu ya kusanidi usafirishaji wa pluggable au kuunganisha kwa kutumia Bridges.

Sanidi or bridge

MACHAGUO MENGINE

Kama mawasiliano yako yanatumia proxy unaweza kusanidi kwa kubofya 'Settings ...' against 'Sanidi namna Tor Browser huunganishwa katika mtandao'. Katika matukio mengi, hii siyo lazima. Kwa kawaida utajua kama unahitaji kuchagua uhakiki huo sababu mpangilio huohuo utatumika kwa kivinjari kingine katika mfumo wako. Kama inawezakana, mulize msimamizi wako wa mtandao kwa muongozo. Kama mawasiliano yako hayatumii proxy, bofya"Connect".

Mpangilio wa Proxy katika Tor Browser