Kama unapendelea, Tor Kivinjari inaweza kufanya kubeba kwa kuiondoa kwenye kumbukumbu yake moja kwa moja kwenye media inayoweza kutolewa kama vile fimbo ya USB au kadi ya SD. Inashauriwa kutumia kifaa kinachoandikika ili Tor Browser iweze kusasisha kama inavyotakiwa.

Kwa Windows:

  1. Weka katika kifaa chako kinachoweza kutolewa kisha unda upya. Mfumo wowote wa faili utafanya kazi.

  2. Peruzi katika Tor Browser pakua kurasa.

  3. Pakua faili la Windows .exe kisha hifadhi katika kifaa chako.

  4. (Imeshauriwa) Hakiki saini za mafaili.

  5. Upakuaji ukikamilika, bofya faili la .exena anza kusanikisha.

  6. Ikihitaji kujua sehemu ya kusanikisha Tor Browser, chagua kifaa chako kinachoweza kuwekwa na kutolewa.

Kwa macOS:

  1. Chomeka katika kifaa chako kinachoweza kutolewa. Ni lazimautumie Mac OS Extended iliyo katika mfumo (ulioandika).

  2. Peruzi katika Tor Browser pakua kurasa.

  3. Pakua faili la macOS .dmgkisha hifadhi katika kifaa chako.

  4. (Imeshauriwa) Hakiki saini za mafaili.

  5. Upakuaji ukikamilika, bofya faili la .dmgna anza kusanikisha.

  6. Ikihitaji kujua sehemu ya kusanikisha Tor Browser, chagua kifaa chako kinachoweza kuwekwa na kutolewa.

Kwa GNU/Linux:

  1. Weka katika kifaa chako kinachoweza kutolewa kisha unda upya. Mfumo wowote wa faili utafanya kazi.

  2. Peruzi katika Tor Browser pakua kurasa.

  3. Pakua faili la wazi.tar.xzna hifadhi katika kifaa chako.

  4. (Imeshauriwa) Hakiki saini za mafaili.

  5. Upakuaji ukikamilika, rudisha mafaili halisi katika kifaa chako pia.