FLASH PLAYER
Tovuti za video, kama viles Vimeo hutumia sakiti za Flash Player kuonyesha maudhui. Bahatimbaya, Hutengenisha uhuru wa Tor Browser na haziwezi kuundwa kukubali kwa arahisi mpangilio wa proxy ya Tor Browser.Hivyo inaweza kutambua eneo lako na anwani ya IP halisi kwa wasimamizi wa tovuti, au kwa mtazamaji wa nje. Kwa sababu hii, Flash haijawezeshwa mojakwamoja katika Tor Browser, na haishauriwi kuiwezesha.
Baadhi ya tovuti za video (kama vile YouTube) huwa na njia mbadala za kuonyesha video ambazo hazitumii Flash. Njia hizi zinaweza kuwa zinaendana na Tor Browser.
JAVASCRIPT
JavaScript ni lugha ya programu ambayo tovuti hutumia kutoa vitu vya kimawasiliano kama vile, video fupi, sauti, na thali katika muda. Bahati mbaya, JavaScript pia inaweza kuruhusu kuvamiwa katika ulinzi wa kivinjari, ambayo hupelekea hali isiyo ya kawaida.
Tor Browser inavitu vya ziada viitwavyo NoScript. Hupatikana kupitia "Preferences" (au"Options" katika Windows) ya hamburger menu (≡), kisha chagua 'Customize' kisha vuta alama ya “S” iliyopo juu kulia katika window. NoScript inakuruhusu kudhibiti JavaScript (na aina zingine za scripts) zilizopo katika tovuti binafsi, au bhuzuia kabisa.
Watumiaji wanahitaji kiwango kikubwa cha ulinzi katika kuperuzi katika mitandao wanatakiwa kuweka Tor Browser’s Kiwango cha ulinzi)katika Safer” (ambayo huzuia JavaScript katika tovuti zisizo na HTTPS ) au “Safest” (ambazo hufanya hivyo kwa tovuti zote). Hatahivyo, kuizuia JavaScript itazuia tovuti nyingi kuonyehs kwa usahihi, hivyo mpangilio wa mojakwamoja wa Tor Browser ni kuruhusu tovuti kutumia scripts katika mfumo wa "Standard".
KIVINJARI NYONGEZA
Tor Browserinapatikana katika Firefox, na inaweza kuongezwa katika kivinjari kingine chochote au maudhui yanayoendana na Firefox yanaweza kusakiniwa katika Tor Browser.
Hatahivyo, vitu pekee vilivyoongezwa ambavyo vimejaribiwa kwa matumizi na Tor Browser ni vile vilivyojumuishwa mojakwamoja. kusanikisha kivinjari kingine chochote inaweza kuzuia utendaji kazi wa in Tor Browser au kusababisha matatizo makubwa zaidi ambayo yanaathili usalama na faragha yako. Haishauriwi kabisa kuongeza vitu vingine, na Tor Project haitatoa msaada kwa usanidi huo.