Kutoa Tor Browserkatika mfumo wako ni rahisi:
Kwenye Windows:
- Tafuta folda lako la Tor Kivinjari au programu-tumizi. eneo la chaguo-msingi kwenye Desktop.
- Futa folda la Tor Kivinjari au programu-tumizi.
- Taka zako Tupu.
Kwenye macOS:
- Weka programu yako ya Tor Browser .Sehemu yake halisi ni folda la programu.
- Hamisha programu ya Tor Browser application kwenye vitu visivyotumika.
- Nenda katika folda lako la
~/Library/Application Support/
.
- Zingatiathe Folda la maktaba limefichwa katika toleo jipya la macOS. Kulitafuta hili foldar, chagua "Go to Folder..." katika menyu ya "Go".
- Kisha andika
~/Library/Application Support/
katika windo kisha bofya Go.
- Weka folda ladata za TorBrowser-Data katika sehemu ya vitu vya vilivyofutwa.
- Taka zako Tupu.
Zingatia kama hujasakini Tor Browser katika sehemu yake halisi (folda la program), kisha folda la data za TorBrowser fhaijawekwa katika ~/Library/msaada wa programu/
folda, lakini katika folda hilohilor ambalo umesakini Tor Browser.
Katika Linux:
- Locate your Tor Browser folder. On Linux, there is no default location, however the folder will be named "tor-browser".
- Launch a terminal window in the Tor Browser folder and run this command to unregister Tor Browser as a desktop application:
./start-tor-browser.desktop --unregister-app
- Futa folda la Tor Browser.
- Taka zako Tupu.
Zingatia viwango vya utendaji wa mashine yako upande wa "Uninstall" haitumiki.